Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana nguruwe tamuu sanaaUmesahau kuwa bwana alihamishia mapepo kwa nguruwe ? Pilau ina uhusiano na kuzaliwa kwake
Yani siku hizi zinanimalizia pesa sana aiseeNdo maana nguruwe tamuu sanaa
Me mkuu mood imekata maana kuna siku nilikula Nikaaendesha sanaa..!! Sina hamuu mpaka leooo... Ilaa nadhani soon utarudiYani siku hizi zinanimalizia pesa sana aisee
Hahaha lazima ikate. Mimi niliwahi kula moja hivi ina radha mbaya sijui alipikia mafuta gani .nikaacha week kama 2 ila nilirudiMe mkuu mood imekata maana kuna siku nilikula Nikaaendesha sanaa..!! Sina hamuu mpaka leooo... Ilaa nadhani soon utarudi
Hahaha lazima ikate. Mimi niliwahi kula moja hivi ina radha mbaya sijui alipikia mafuta gani .nikaacha week kama 2 ila nilirudi
Kiti moto na ugali
na bia,
kiti moto
na pilau
wapi na wapi
labda wachina
hata
masai hali hivyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]