Kuna siri gani kati ya mbuzi Katolki na pilau?

Sijawahi kujaribu, ninapika pilau ya mbuzi au ng’ombe, nguruwe na kitanwa cha pombe
 
Umesahau kuwa bwana alihamishia mapepo kwa nguruwe ? Pilau ina uhusiano na kuzaliwa kwake
 
mie hata kula kitimoto ya mchuzi sijawahi
 
Kiti moto na ugali
na bia,
kiti moto
na pilau
wapi na wapi
labda wachina
hata
masai hali hivyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Me mkuu mood imekata maana kuna siku nilikula Nikaaendesha sanaa..!! Sina hamuu mpaka leooo... Ilaa nadhani soon utarudi
Hahaha lazima ikate. Mimi niliwahi kula moja hivi ina radha mbaya sijui alipikia mafuta gani .nikaacha week kama 2 ila nilirudi
 
wadau wa kitimoto.jioni naangusha mnyama.kilo 6500.dar es salaam
.napokea order
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitimoto na pilau sisi wafilipino tunapenda sana.
Kiti moto na ugali
na bia,
kiti moto
na pilau
wapi na wapi
labda wachina
hata
masai hali hivyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…