Akikujibu uni tag mkuuHizo dini ni nini?
Waliokuletea dini, ndiyo waliokuletea freemasonry. Akili kichwaniDini mbalimbali zinapinga mpira wa miguu na kusema ni satanic. Mpira unahusishwa na freemasonry ambapo logo mbalimbali zimesemwa kuwa na nembo za kishetani ndani yake. Wengine wameenda mbali na kusema mpira ni Ibada na waumini ni mashabiki.
Licha ya hili football bado inabaki kuwa mchezo Pendwa duniani kote.mpaka kwa waarabu wapenda dini wamelevywa na mpira wa miguu na kuenda zaidi mpaka kuzinunua timu ulaya na kufanya uwekezaji mkubwa huko wakati waarabu na wazungu ni paka na panya.
Je Kuna siri gani kwenye mpira.
Sawa mkuuAkikujibu uni tag mkuu
Kama unaaamini kua Mpira ni ibada ya Kishetani kwanini upo kwenye Jukwaa La Sports hapa Nenda Jukwaa La Dini huko.Ukubali usikubali mpira ni ibada ya sanamu viwanja vinajaa pomoni kuliko nyumba za ibada ya Mungu. Mpira umekuwa ni kiungo muhimu kuunganisha watu mbalimbali kuliko dini zilizozoeleka. Kila kona watu watu wanaongelea mpira. Mpaka wanawake wameingizwa huko tena wanaucheza katika haiba ya kiume kiasi cha kuwa kama wanaume huku wakiachana na haiba ya kike ambayo ni asili yao. Hata kuolewa kwao ni shughuli pevu, watafanyaje mapenzi wakiwa na haiba ya kiume kama si kuwa wapenzi wa jinsia moja? Mpira unatumika kupitisha ajenda mbaya za kishetani na hili lipo wazi linaonekana kuwepo kwa bendera ya kuunga mkono kampeni za mapenzi ya jinsia moja kwenye mchezo wa mpira.
Vipi kuhusu basketball, Boxing n.k?Ukubali usikubali mpira ni ibada ya sanamu viwanja vinajaa pomoni kuliko nyumba za ibada ya Mungu. Mpira umekuwa ni kiungo muhimu kuunganisha watu mbalimbali kuliko dini zilizozoeleka. Kila kona watu watu wanaongelea mpira. Mpaka wanawake wameingizwa huko tena wanaucheza katika haiba ya kiume kiasi cha kuwa kama wanaume huku wakiachana na haiba ya kike ambayo ni asili yao. Hata kuolewa kwao ni shughuli pevu, watafanyaje mapenzi wakiwa na haiba ya kiume kama si kuwa wapenzi wa jinsia moja? Mpira unatumika kupitisha ajenda mbaya za kishetani na hili lipo wazi linaonekana kuwepo kwa bendera ya kuunga mkono kampeni za mapenzi ya jinsia moja kwenye mchezo wa mpira.
KipozeoSijui mleta made kasikiliza mawaidha ya nani
Naunga mkono hojaKama unaaamini kua Mpira ni ibada ya Kishetani kwanini upo kwenye Jukwaa La Sports hapa Nenda Jukwaa La Dini huko.