Kuna Siri Nyingi Zimefichwa Kwenye Biashara za Online Njoo Tujadili Kwa kina

Kuna Siri Nyingi Zimefichwa Kwenye Biashara za Online Njoo Tujadili Kwa kina

Digxam-TZ

Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
57
Reaction score
90
Kuna siri nyingi zimejificha kwenye soko la biashara za online kwaujumla hasa kwenye ubora.Siku hizi ukipitia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan waagizaji wa bidhaa mtandaoni kuuziwa bidhaa ambazo ziko chini ya kiwango nfano vifaa vya
  • Electronics
  • Automobile
  • Kilomo
  • Ujenzi


Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa, baadhi yao wametapeliwa kwa namna moja au nyingi kama kuuziwa vifaa feki mitambo mibovu wengine kupoteza kabisa pesa zao nk

Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua chochote mtandaoni , ili usije ukaingia Chaka ukajuta au ukachukia biashara ya mtandaoni ukafikiri ni utapeli undanganyifu kumbe umekutana na wadanganyifu kwanjia ya mtandao.

Digxam tumejipanga vizuri kwenye online business utaunganishwa na waunganishwa na wauzaji wa bidhaa wakiwa sehemu mbalimbali.

Contact Us
Call:+255712 708245
Whatspp:+8180 2071 7421
Email:info@digxam.site
website:www.digxam.site
 
Msimu mwingine wa kudownload mipesa,



Ni bando lako tu ila kulia marufuku.
 
Back
Top Bottom