Kuna style zinazo sababisha mwanamke asishike mimba?

ndo maana waga nashangaa kuna mdada kaolewa huu mwaka wa pili sasa , ujue kama mwanamke anaingia kwenye ovulation each month possibility ya kupata ujauzito ni kubwa ,,asa huyu bidada naona mumewe ana MACHINE GUN AK47 manake naona kizazi chake kimesukumwa hadi mgongoni , sababu anaingia kwenye ovulation kila mwezi lakini mimba kushney , dah wanaume sijui wanalifahamu hili ama wanafikiria tu ugumba , dah
 
jamani kizazi kikisogea ndani na kuzidi kusukumwa ndani si kitatokea puani?



 
Mmmmmh!
Dunia darasa aisee

Naombebi spana namba5 nikafanye ukarabati
 
Hakuna zaidi ya kuwacha ku sex, mana ukifanya sex lazima mimba itaingia tu, au mwanamke akakitoe kizazi chake.
 
Namuomba Erotica aje hapa, uzoefu wake kwenye hii makitu unahusika, pia Bishanga,Ta Kamugisha na ruttashobolwa tunahitaji majibu yenu kwa sababu tumesikia mmefanya sana research kuhusu styles!

Baba V,ndugu Fillipo kamaliza kila kitu
 

Mh! Kuhusu ring umedanganya. Kitaalam ring ni kwa wale ambao mzigo unawahi kulala so wanavaa ring ili kuzuia damu iliyo mzigoni iendelee kusimamisha mtambo.
 
mh! Kuhusu ring umedanganya. Kitaalam ring ni kwa wale ambao mzigo unawahi kulala so wanavaa ring ili kuzuia damu iliyo mzigoni iendelee kusimamisha mtambo.

mi nasikisikaga wanaongea watu hee kumbe ndo hivyo dah kazi kweli
 
Daaaaah! Hadi namkumbuka Mwl. Wangu wa Biology enzi zile. Mmmmmh! Haya jamani edeleeni mi' hapo dish imetingishika, naona chenga tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…