Kuna Supplier yoyote Tanzania anauza EPOXY METALLIC FLOOR PAINTING MATERIALS?

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,316
Reaction score
7,215
Kwa sasa Epoxy ndo style ya kisasa ambayo watu wanaitumia kuweka kwenye Floor!

Binafsi nimeenda Nabaki Africa na baadhi ya Suppliers tofauti, ila wao hawauzi EPOXY METALLIC ambayo wateja wengi hutaka, wao wanauza Epoxy plain ambayo sio Metallic, isiyo na Pigments/effect kwa ajiri ya urembo ambao ndo haswa huvutia.

Epoxy Metallic inauzwa kwa rangi mbalimbali kulingana na eneo unalotaka kufanyia kazi.

Kama kuna Supplier anauza EPOXY METALLIC FLOOR hapa Tanzania au kuna mtu ana uhakika na Supplier wa Epoxy Metallic basi share na sisi hapa!

Kama kuna Company/Supplier hii ni fulsa nzuri ya Kibiashara, kuagiza Materials nje na kuyaleta Tanzania....binafsi ni Mtaalam na Nina wateja wengi sana, kwa vile hii Materials ni Expensive, binafsi siwezi kumudu kuyaleta hapa kwa kazi ya mtu mmoja mmoja, otherwise mpaka Materials yafike Tanzania, gharama itakua kubwa Mara dufu, kuliko Company/Supplier ambaye angeagiza mzigo mkubwa kwa wakati mmoja!

Kama Company/Supplier anaweza akawa interesting, anicheki pm ntampa mwongozo, wapi tunaweza kupata Quality nzuri, na info za kutesha kuhusu Epoxy Metallic.
Ni fulsa kwa sababu Wateja ni wengi, sometime kumwambia mteja aagize mwenyewe inakua mtihani kwake....

Quality ya Epoxy Metallic, inapatikana USA, EUROPE NA INDIA, ambapo kuna Viwanda na Kampuni kubwa zinazo Supply product zao Worldwide!

South Africa wana wana Viwanda vichache but na wao hawatengenezi ile pure Metallic, zaidi ya Epoxy resin, sasa Installers inabidi wao wenyewe waagize nje hasa Asia Metallic pigments na Metallic clear coat kwa ajiri ya final touch ili angalau matokeo ya kazi wanazofanya ziwe na u quality!



Unaweza kujifunza zaidi kuhusu Epoxy kwenye moja ya Post yangu ya zamani hapo chini..

Ijue Epoxy Metallic floor, style ya kisasa ya floor!
 
Kaka, unaweza kunisaidi wapi naweza kupata clear epoxy resin, ninataka kiasi kidogo Kwa ajili ya project yangu
 
Unataka mtu wa mtaji wa kiwango kipi weka range ya hiyo capital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…