Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Wanaonekana “wagonjwa” watatu wa uviko (Ramona Khoury, Fawaz Dandan na Osama Ahmad) wakieleza hali mbaya waliyopitia kwenye ugonjwa huu. Walidaiwa kuwa wako Concord Hodpital, kule Sidney, Australia.
Kwa “masikitiko” wanasema wanatamani wangejua mapema, wangepata sindano. Kisha wanasema, kachomeni jamani.
Watu wakaingiwa na mashaka. Hawa ni wagonjwa kweli?
Mmojawapo akaamua kufuatilia.
Akapiga simu.
Mpigasimu: Hapo ni Concord Hospital?
Mpokeaji: Ndio, nikusaidie nini?
Mpigasimu: Mimi ni John Khoury. Namtafuta mke wangu.
Mpokeaji: Ni mgonjwa?
Mpigasimu: Anaitwa Ramona Khoury
Mpokeaji: Hata sioni mtu yeyote mwenye jina hilo.
……………
Mmhh!!
Nisiseme sana.