Kuna taarifa kwamba TFF inawabembeleza GSM Warejeshe udhamini wao kwenye ligi ya NBC

Naiona GSM kama Ukraine, Tff kama USA na Simba ni Urusi na Yanga ni NATO tu. Kitu kilekile kitatokea na USA wataishia Russia vikwazo vingi ila Putin ataichapa Ukraine na hakuna wa kuingilia kati ya hao watabaki maneno tu meengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…