RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Ndugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika bwawa la umeme wa julias nyerere yameenda bure watanzania tumerogwa na nani mbona miradi mingi inaanzishwa ya aina moja huku mradi mwingine haujakamilika mbona pesa za wananchi zinachezewa namna hii. Watanzania siyo wajinga
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .