Umeipata wapi hii habari?Ndugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika bwawa la umeme wa julias nyerere yameenda bure watanzania tumerogwa na nani mbona miradi mingi inaanzishwa ya aina moja huku mradi mwingine haujakamilika mbona pesa za wananchi zinachezewa namna hii. Watanzania siyo wajinga
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .
Mkuu RWANDES , kwenye miradi mikubwa, kuna kitu kinaitwa concurrent, yaani miradi zaidi ya mmoja, inakwenda sambamba. Tunaendelea na mradi wa JNHEPP, at the same time tunandeleza mradi wa kuchakata gesi ya LNG, at the same time tunapunguza bei ya gesi la LPG, at the same time tunaendeleza Umeme wa upepo, Windmills, at the same time tuna endeleza umeme wa joto ardhi, Geothermal, at the same time tunaendeleza Umeme wa Nishati jadidifu kama solar energy, huku tukiendeleza mashamba ya mibono kaburi kule Kisarawe kwenye mradi wa Sun Biofuels tutengeneze biofuels.Ndugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika bwawa la umeme wa julias nyerere yameenda bure watanzania tumerogwa na nani mbona miradi mingi inaanzishwa ya aina moja huku mradi mwingine haujakamilika mbona pesa za wananchi zinachezewa namna hii. Watanzania siyo wajinga
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .
Tulijua tu hili. Aliyeanzisha Stiglers alikuwa anatafuta pa kupiga tu. Kwanini akiacha mradi wa gesi ambao kwa miaka mingu tuliaminishwa ni nafu na ungezalisha Umeme mwingi hadi wa kuuza Kenya, rwanda na Uganda?Ndugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika bwawa la umeme wa julias nyerere yameenda bure watanzania tumerogwa na nani mbona miradi mingi inaanzishwa ya aina moja huku mradi mwingine haujakamilika mbona pesa za wananchi zinachezewa namna hii. Watanzania siyo wajinga
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .
Dadeki wallahTaratibu mkuu, vita pumzi kwanza
Taarifa zinasambaa wapi? Source ya taarifa? Huo umeme wa billion 500 ni kupitia chanzo gani; gas? Solar? Thermal? Kwa afya yako na wanaokutegemea, punguza maumivu... Wakiamua wameamua
Kaongea Samia mwenyewe akihojiwa na Tido Mhando state house DodomaNdugu zangu wana jamvi humu ipo tetesi inayosambaa kwa kasi kuwa kuna mradi wa kufua umeme wa thamani ya sh bilion 500 katika wizara ya nishati, mimi nimekaa nikawaza matrion yaliyotumika katika bwawa la umeme wa julias nyerere yameenda bure watanzania tumerogwa na nani mbona miradi mingi inaanzishwa ya aina moja huku mradi mwingine haujakamilika mbona pesa za wananchi zinachezewa namna hii. Watanzania siyo wajinga
Aidha mimi binafsi nasikitika kusikia hilo kwakuwa mradi mwingine bado unaangalia kwa kushupaza shingo .