Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
Wanafanya makusudi ili kutengeneza mazingira ya kuwapa zabuni watu wanaowataka in exchange of RUSHWA.Ndugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee)
Serikali ya CCM imefeli sana kwenye utoaji huduma. Ni kweli.
Achana na mahospitali, shule za umma, jeshi la polisi na kwingine kote unakoweza kutaja.
Ila aisee NeST ni wazembe na wazinguaji balaa.
1. Utaambatanisha nyaraka zako ili kuthibitishia uhalali wako wa kufanya biashara, hawathibitishi hata wiki mbili bila maelezo
2. Wana namba yao ya simu. Ukipiga mpaka ipokelewe ni miaka na wakati huo namba siyo free toll.
3. Kuna wakati unaweza kupandisha nyaraka fulani kwenye mfumo, na ukaiona imepanda ila kia ukiitaka kama kiambatanisho kwenye kazi fulani, hauikuti.
Nyie NeST mnanyima watu fursa za kazi na maisha nyie.
Yote haya yamesababishwa na CCM kuishi kwa mazoea. Hakuna chapa pale. Kataa CCM kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote
Ndugu yangu ,TTCL nadhani inaongoza.Kuna kiumbe kinaitwa TTCL faiba.Wanakupa huduma harakaharaka unapoingia,sasa upate tatizo ndiyo utajuta.Simu kupokelewa kwa shida,na wakipokea watakuambia tuanakuaja ndani ya masaa 24,wala hawaonekani tena.Tarehe ya kulipia ikifika utapigiwa simu na watu zaidi ya watano kukumbushwa malipo.Huduma za TTCL kwa kweli ni kero ,hususan hicho kinachoitwa TTCL faibaNdugu wanabodi, heshima kwenu nyote. (Unaitikia igweeeeee)