Kuna tabia sisi kama watanzania hatuwezi kuziacha

Kuna tabia sisi kama watanzania hatuwezi kuziacha

Empiree

Senior Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
102
Reaction score
256
Sisi watanzania kunatabia atuwezi kuziacha kabisa .
kama [emoji117] kugeuza Tauro kuwa Dekio , kuweka Fagio nyuma ya mlango [emoji23][emoji23] .

Ongeza na Zako apo chini [emoji116][emoji2][emoji2]
 
Umenikumbusha BOARDING. Umeme ukikatika tunakesha mabwenini kwa stories. Siku umeme upo Prepo mpk tulazimishwe
Umeme ukikatika kuchungulia dirishani kama kwa jirani nako umekatika.

Na ukirudi lazima kushangilia "huooooooo"
 
Umenikumbusha BOARDING. Umeme ukikatika tunakesha mabwenini kwa stories. Siku umeme upo Prepo mpk tulazimishwe
Maisha ya shule yalikua raha sana, jinsi tulivyokua tunalazimishwa kusoma, utafkiri sio kwa faida yetu😂
 
1:Mwanao/mdogo ako.... Ana amka saa 4 alaf unamuuliza "we hujaend shule?" wakat unamwona ndo anatoka chumban

2:kupenda sarafu za kung'aa

3:kuachiana sigara na juice

4:kukinga maji ya mvua
 
Back
Top Bottom