Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 191
- 389
1:Mwanao/mdogo ako.... Ana amka saa 4 alaf unamuuliza "we hujaend shule?" wakat unamwona ndo anatoka chumban
2:kupenda sarafu za kung'aa
3:kuachiana sigara na juice
4:kukinga maji ya mvua
Tanzania ya Viwanda tuna vuna tuu....Hiyo Namba 4 inaitwa RAIN WATER HARVESTING.... Na China kuna short course
Mwanangu anapenda kuscream "Huoooo" kila umeme ukikatika hata kama unakua haujarudi kweli. Hua napenda majirani wanavyokimbilia kuangalia kama umeme umerudi kweli kisha wanajua kumbe dogo kawazingua.Umeme ukikatika kuchungulia dirishani kama kwa jirani nako umekatika.
Na ukirudi lazima kushangilia "huooooooo"