Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Sitalitaja hilo Taifa lakini kila mwenye akili na mfuatiliaji wa mambo atalibaini na zaid atanielewa japo inaumiza.
Bidhaa bandia siku zote hufanana na bidha halisi ila kwenye matumizi na mambo menginyo, bidhaa ya bandia hujionyresha kwani huwa zina ufanisi duni na zaid hazidumu.
Ukifanya tathimini kuhusu binadamu katika huu ulimwengu, utagundua pia kuna taifa moja linaundwa na watu ambao akili zao na matendo yao, ni vya kiwango duni kuliko ilivyo kwa binadamu halisi kwa jinsi wanavyo behave( kichwani ni kama wamejaa kamasi badala ya ubongo).
Katika hilo Taifa, watawala wanaweza kufanya mambo ya hovyo kupindukia lakini kamwe watu katika hilo Taifa hawewzi kuungana kuwapinga watawala.
Binadamu halisi wachache wakijitolea kuwaeleza mabaya ya watawala, wataishia kubezwa na hata wakipigwa na kuwekwa ndani, watu feki katika Taifa hilo hawana habari wako busy na mambo ya mpira, udaku na mengineo ya aina hiyo.
Binadamu hawa feki utawaikia wakisema, "mimi sifuatili siasa, niandamane ili nini, n.k". Cha ajabu, kila siku utawasikia wanalia maisha magumu, tozo zimezidi, n
K.
Katika Taifa hilo, hata watawala wakiuza ardhi kwa wageni, kamwe hao raia hawawezi kuungana kuwapinga watawala.
Katika Taifa hilo, hivi sasa kuna watu wa jamii fulani wananyanyaswa lakini binadamu hao feki kila mtu yuko busy na maisha yake na ya familia yake.
Kibaya zaidi, hata wale wachache wenye akili, wanapopaza sauti, ungwaji mkono ni wa kiwango cha chini sana utadhani wanaotendewa huo uovu ni mifugo au wanyama wa porini.
Raia hawajali, media zimejaa woga, wanaojaribu kupaza sauti wanajikuta peke yao na zaid wanaishia kubezwa.
Ukitaka kujia Taifa hilo llimejaa fake human beings, ni pale ambapo kuna tukio moja la ukatili wa kijinsia limetendeka, ila wanaoongoza kupaza sauti ni watu wa jinsi tofauti huku walioshika madaraka ndio wenye jinsia iliyoathirika ila hawana habari (kimya kabisa)!
Mambo ya hovyo ni mengi na huwa najiuliza sijui mpaka nini kitokee ndio watu katika hilo Taifa labda watashituka na kubadilika. .
Sifa kuu za jumla kwa watu wa hilo Taifa ni hizi:
1. Ubinafsi
2. Uoga
3. Unafiki
4. Kujipendekeza(uchawa).
Huenda hata bidhaa bandia zina nafuu kuliko hawa binadamu fake!
Unajiuliza watu hawa wanapata wapi uhalali wa kuzaliana wakati hawajali future ya watoto na wajukuu zao?
Pathetic creatures!