CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Aug 21, 2024 #21 Dr hyperkid said: ukishakula kongoro apo manyelezi unakuja kucheuwa tuh uku jf ndugu Click to expand... Halafu ni mtu mzima kabisa na amepata mwanga wa elimu na yuko hivi jee wale walioishia form four ya leo wakoje?
Dr hyperkid said: ukishakula kongoro apo manyelezi unakuja kucheuwa tuh uku jf ndugu Click to expand... Halafu ni mtu mzima kabisa na amepata mwanga wa elimu na yuko hivi jee wale walioishia form four ya leo wakoje?
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,837 Reaction score 3,027 Aug 21, 2024 #22 Watu FEKI Na hata Udhalilishaji wanaotumia ni FEKI pia ! Lakini kwa kawaida nijuavyo mimi bidhaa FEKI huwa hazidumu kwa muda mrefu sana ! πππ !
Watu FEKI Na hata Udhalilishaji wanaotumia ni FEKI pia ! Lakini kwa kawaida nijuavyo mimi bidhaa FEKI huwa hazidumu kwa muda mrefu sana ! πππ !