Kuna tani elfu 14 za sukari zinauzwa bei nafuu

Kuna tani elfu 14 za sukari zinauzwa bei nafuu

darautobroker

Member
Joined
Dec 18, 2020
Posts
35
Reaction score
61
Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri.

Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi Nikafika Hapa.

Binafsi Mimi Ni Dalali/Middleman Ivyo Hii Ni Moja Ya Sehemu Ya Kazi Zangu Za Kila Siku Za Kujitafutia Riziki.

Kuna Tani Zaidi Ya Elfu 14 Za Sukari Zinazouzwa Kihalali Zikiwa Tayari Zimeshalipiwa Vibali Kutoka Wizara Ya Kilimo Na Zinauzwa Kihalali Zipo Kwenye Godown Hapa Jijini Dar Es Salaam

Kwa Kila Kilo Inauzwa Kwa TSH 2,350/=🏷️ Ambapo Hata Mtu Akihitaji Kwenda Kuuza Mikoa Mingine Ana Uhakika Kwa Kupata Faida Nzuri.

Kwa Mawasilino Zaidi📞

+255 747 999 927
+255 629 227 697

NAWASILISHA
 
Duu,hapa nothing is fishy there.
Kuna jamaa alikuwa anasaga sand anauza like a cement sema anaweza akakutangulizia kwanza sementi halali kwanza mifuko kadhaa baadaye ndipo inapofuata michanga
Huku nilipo kuna Jamaa aliuzia Watu jivu alisema ni Cement, cha msingi hapo ni kuhakikisha huyo muuzaji ana "documents" zote halali zinazomtambulisha.
 
Ahahahahah..kuna watu wamebeba majukum makubwa sana. No wonder mtunkama huyu hata kurud home anaqeza akawa anaogopa.. unarudije na hauko poa wakat watu washakufanya icon? 😂😂😂😂
Sio kuwa anaweza kuwa anaogopa ukweli ni kuwa anaogopa kweli ,maana wao wanahisi ana mihela sana kumbe yupo tu hapo tabata anakutafuta ,Ila wamalila haaamini hivyo ,ulitokea msiba wa kumuhusu sana aliishia kumtuma mkewe nikaumia Ila nikamkumbuka bwana Mahtra Ghandhi aliwahi kusema uogope sana umaarufu
 
Back
Top Bottom