darautobroker Member Joined Dec 18, 2020 Posts 35 Reaction score 61 Jun 15, 2024 Thread starter #21 Evelyn Salt said: Duuuh sukari mbona ishashuka hadi 2800-3000 huko ni hatari Click to expand... Japo Kwenye Mikoa Mingi Bado Iko Juu
Evelyn Salt said: Duuuh sukari mbona ishashuka hadi 2800-3000 huko ni hatari Click to expand... Japo Kwenye Mikoa Mingi Bado Iko Juu
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jun 15, 2024 #22 darautobroker said: Kaka Siku Zote Amini Kwamba FURSA NI KAMA EMBE, WAKATI WEWE UNASUBIRIA ZIIVE, WENZAKO WANAKULA NA CHUMVI Karibu Uchukue Mzigo Na Mwenyezi Atakusimamia Utauza Kwa Faida Click to expand... achukue mzigo bila mipango jukumu la kuuza mwenyezi amsimamie.
darautobroker said: Kaka Siku Zote Amini Kwamba FURSA NI KAMA EMBE, WAKATI WEWE UNASUBIRIA ZIIVE, WENZAKO WANAKULA NA CHUMVI Karibu Uchukue Mzigo Na Mwenyezi Atakusimamia Utauza Kwa Faida Click to expand... achukue mzigo bila mipango jukumu la kuuza mwenyezi amsimamie.