mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Pole sana jaribu kubadilisha mlo kula ugali au wali au chemsha mihogo au viazi asubuhi unapoamka kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na asali. Mkuu@mzee wa busara Mikate ya siku hizi ni ya kibiashara sio mikate mizuri unakula tu ili mradi ujaze tumbo mikate ya siku hizi faida yake ni ndogo mwilini jaribu kubadilisha mlo.Kila nikinywa chai na mkate (wa slice) asbh njaa inaniuma mapema sana kuliko nikinywa chai kavu (bila kitafunio chochote),hii imekuwa ikinitokea mara kwa mara,mfano leo mida ya saa nne nimekunya chai kwa slice kadhaa za mkate zilizopakwa blue band lkn masaa mawili baadaye nimejisikia njaa kali kiasi kwamba ikabidi niende kutafuta msosi faster ndo nikapata ahueni,wakati siku nyingine asubuhi napiga chai kavu tu na still naweza kaa mpaka saa tisa or kumi ndo naenda kupata msosi. Kuna jamaa yangu pia ana tatizo kama hili lkn yeye linamkuta pia akinywa chai na vitumbua.
@King Kong III Vipi rafiki yangu mzima wewe?Ngoja MziziMkavu aje!
uko sahihi 100%haya nimaajabu ukila unapata njaa usipokula hupati! mi nahisi ukila mikate huwa unashikwa na kiu ila huwa unaiperceive kama njaa! it is possible am not joking
MAJI NDIYO KILA KITU MWILINI NDIYO MAANA YAKAITWA NI UHAI, sema hatujui hilo. kama alivyoandika red giant, unapokuwa umekula mkate, mwili huhitaji maji zaidi ili mkate umeng'enywe vizuri au maji mengi zaidi mwilini yametumika katika process za kumeng'enya mkate huo, hivyo mwili hukuletea ishara ya kuhitaji maji (NJAA), we bila kutambua utaenda kula tena!, hivi ndivyo watu wengi wanavyoongezeka unene na uzito kirahisi duniani!.Kila nikinywa chai na mkate (wa slice) asbh njaa inaniuma mapema sana kuliko nikinywa chai kavu (bila kitafunio chochote),hii imekuwa ikinitokea mara kwa mara,mfano leo mida ya saa nne nimekunya chai kwa slice kadhaa za mkate zilizopakwa blue band lkn masaa mawili baadaye nimejisikia njaa kali kiasi kwamba ikabidi niende kutafuta msosi faster ndo nikapata ahueni,wakati siku nyingine asubuhi napiga chai kavu tu na still naweza kaa mpaka saa tisa or kumi ndo naenda kupata msosi. Kuna jamaa yangu pia ana tatizo kama hili lkn yeye linamkuta pia akinywa chai na vitumbua.
Kiungulia ni ishara (indicator) ya mwili kupungukiwa maji, hakikisha kila nusu saa kabla ya kula mlo wowote unakunywa maji vikombe 2 (ml 500). Jifunze ishara zingine za mwili kupungukiwa maji hapa: ijuwe kiu | maajabu ya majiMikate inakiungulia ad bas, ata mimi nkila napata njaa mapema. ..cpendelei saana..me penda chai ya mchaichai na kitumbua lol! Au kiporo cha walinazi tupu!
Kila nikinywa chai na mkate (wa slice) asbh njaa inaniuma mapema sana kuliko nikinywa chai kavu (bila kitafunio chochote),hii imekuwa ikinitokea mara kwa mara,mfano leo mida ya saa nne nimekunya chai kwa slice kadhaa za mkate zilizopakwa blue band lkn masaa mawili baadaye nimejisikia njaa kali kiasi kwamba ikabidi niende kutafuta msosi faster ndo nikapata ahueni,wakati siku nyingine asubuhi napiga chai kavu tu na still naweza kaa mpaka saa tisa or kumi ndo naenda kupata msosi. Kuna jamaa yangu pia ana tatizo kama hili lkn yeye linamkuta pia akinywa chai na vitumbua.

MAJI NDIYO KILA KITU MWILINI NDIYO MAANA YAKAITWA NI UHAI, sema hatujui hilo. kama alivyoandika red giant, unapokuwa umekula mkate, mwili huhitaji maji zaidi ili mkate umeng'enywe vizuri au maji mengi zaidi mwilini yametumika katika process za kumeng'enya mkate huo, hivyo mwili hukuletea ishara ya kuhitaji maji (NJAA), we bila kutambua utaenda kula tena!, hivi ndivyo watu wengi wanavyoongezeka unene na uzito kirahisi duniani!.
Kwanini tuanakula chakula? njaa hutokeaje mwilini?, ni vipi tunapaswa kunywa maji kila siku?, fuatisha link ifuatayo ukajifunze mengi zaidi: uzito na unene kupita kiasi | maajabu ya maji
kiungulia ni ishara za gastritisKiungulia ni ishara (indicator) ya mwili kupungukiwa maji, hakikisha kila nusu saa kabla ya kula mlo wowote unakunywa maji vikombe 2 (ml 500). Jifunze ishara zingine za mwili kupungukiwa maji hapa: ijuwe kiu | maajabu ya maji
Gastritis ni ishara za mwili kupungukiwa maji. Mwanzo | maajabu ya majikiungulia ni ishara za gastritis