Kuna tatizo gani kwenye mikate?

asante sana.
Sasa hiyo mikate ya boflo tunapate wapi?
Achana na boflo, kula brown bread,ni mkate wa unga ya ngano ambayo haijakobolewa, ingekuwa ugali ungesema ni ugali wa dona, ni mkate mzuri wenye viinilishe vingi zaidi tofauti na ule mweupe, ndiyo maana watu wenye kisukari na magonjwa mengine wameshauriwa kula mkate huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…