Kuna tatizo gani mke akiuza nyumba baada ya mume kufariki?

Kuna tatizo gani mke akiuza nyumba baada ya mume kufariki?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine.

Kama mwanaume amefariki halafu mke/mwanamke akaamua kuuza nyumba waliyokuwa wanaishi kwa sababu zozote zile upande wa wakwe huwa wakali sana, jamii pia humchukulia vibaya mwanamke aliyeamua kuuza nyumba, ikiwa hakuna mirathi ilyoandikiwa hapo ndipo vurugu huibuka kabisa wakati inajulikana wazi kabisa mali za familia anapofariki mwenza mmoja zinabaki kwa mwenza aliyebaki na yeye anakuws na maamuzi nazo!
 
Back
Top Bottom