Kuna tatizo kwenye malipo ya serikali/Digipass

Kuna tatizo kwenye malipo ya serikali/Digipass

Hassanjk

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
689
hivi inakuwaje malipo ya serikali yanayo tumia mfumo rasmi wa Benk kama Digipass.

Ikifika weekend haifanyi kazi au pengine hufanya kazi kwa 25% na kwa sikukuu kama hizi ndio kabisa sijiu wanazima kabisa.

Fikiria karibia National parkfees zote Tanzania zinatumia huo mfumo halafu kwa sikukuu kama hizi ndio haupo hewani na wageni wamefurika. Ni mamilioni mangapi hatujui yanafuata channel gani lakini ni usumbufu kiasi gani wateja wanapata?
 
Back
Top Bottom