KERO Kuna tatizo la ajali katika wilaya ya Temeke mtaa wa La Leo

KERO Kuna tatizo la ajali katika wilaya ya Temeke mtaa wa La Leo

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba Serikali isiendelee kufumba macho na kushindwa kutatua tatizo hili ambalo linaweza kupelekea vifo huko mbele.

Mtaa wa La Leo kuna barabara ambayo Ina sehemu ya kuvuka kwenda Tandika

Barabara hii imekuwa kero sana na ajali zimekuwa zikitokea Mara Kwa Mara .

Naomba serikali waweke Matuta na pia waweke zebra crossing.

Tofauti na hapo tutegemee Ajari nyingi kutokea siku zijazo.
 
Back
Top Bottom