Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Binafsi sipendagi kuandika mambo yanahusiana na changamoto za serikali kwasababu watu hata hawafukuzwi kazi hata kama kweli tuhuma ni za kweli.
Ila kwasababu sisi ni wanaharakati hatuwezi choka kuongea mawili matatu,kusema kero,changamoto,ugandamizaji n.k ni chakula chetu ni diety,usipofanya hivyo nafsi inaangaika na kukushitaki.
Anyway,ipo hivi pale PSSSF Arusha kunajambo ambalo limeumiza sana binafsi mpaka machozi yalinitoka sereous.
Kuna swala la watumishi kama wawili waliostaafu wakafa wakafariki pasipo kulipwa kiinua mgongo chao,walifuatilia mpaka viatu walionunulia mshahara wao wa mwisho vikaisha,mmoja alikuwa mwalimu na alikuwa na mkono mmoja,image maisha yake alikuwa akifundisha kwa kutumia mkono mmoja then amestahafu kafuatilia kiinua mgongo na akafa hajapata chake.
Wale jamaa hivi wanajiona wao ni nani katika dunia hii,alafu unaskia sasa hivi tunafanyakazi kidigitali,digitali my foot..mtu mweusi mimi simpendi jamani..natamani ngazi zote nyeti washikilie wazungu,waafrika bado na sio watu wakuaminiwa ni waaribifu wa maisha ya watu siwapendi siwapendi siwapendi ni watu wabaya,wamefanya afrika kuzimu.
Kuna mtu niikutana naye akaniambia tokea mwezi wa saba mwezi huu ameleka requirements zote za madai yake,mpaka sasa hana dalili ya kulipwa,ameamua aendelee na shughuli zake kwasababu wale jamaa wankiburi na dharau kiwango cha lami.
Nashauri serikali hawa watu waamishe panga pangua, maana najua hamuwezi kuwafukuza kazi,peleka namtumbo,mwingine Lindi,mwingine ashushe cheo awe dereva wa masafa marefu kama inawezekana.