Kuna team huko Saudia Pro league inaitwa Al Hilal

Kuna team huko Saudia Pro league inaitwa Al Hilal

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Hii team inashinda Kila mechi halafu inashinda kirahisi sana na ukijichanganya unakula hata nne au Tano
 
Screenshot_2024-09-13-20-22-27-86.png
 
Wanapiga mno wanacheza hata saiv! Mpaka dakika ya 18 ilikuwa 2-0
 
Back
Top Bottom