sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hao wajerumani kuna stori zao kwamba walikuwa ni wakorofi sana enzi hizo hapa ni koloni lao.
je pana ukweli au ni story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajeruman wako makini kama jpma uliwahi kuona wapi kifaa fake cha ujerumanHao wajerumani kuna stori zao kwamba walikuwa ni wakorofi sana enzi hizo hapa ni koloni lao.
je pana ukweli au ni story
Rais Magufuli hajawahi kuwa makini. Mtu makini hawezi kuwa anaingizwa mkenge kirahisi.Wajeruman wako makini kama jpma uliwahi kuona wapi kifaa fake cha ujeruman
USSR
Wakoloni wa Kijerumani walianza kutawala Tanganyika mwaka 1888 baada ya mkutano wa BerlinUkumbuke enzi hizo tulikuwa na mbabe Hitler
nadhani ndio hapa kiboko cha mjerumani kilopojipatia umaarufuKwenye kulipisha watu kodi walikuwa hawacheki na mtu ni mikwaju ya nguv
Mtu makini hawezi kufa na covid...Wajeruman wako makini kama jpma uliwahi kuona wapi kifaa fake cha ujeruman
USSR
Ukumbuke enzi hizo tulikuwa na mbabe Hitler
Wakoloni wa Kijerumani walianza kutawala Tanganyika mwaka 1888 baada ya mkutano wa Berlin
...nature ya watu wa Tanganyika bila nguvu hawaendi......Mfumo wa utawala walioutumia ndiyo ulifanya wajerumani waonekane makatili sana.
Mjerumani alipokuja kuitawala Tanganyika alitumia Mfumo wa "Direct rule" tofauti na Muingereza aliyetumia "Indirect rule".
Mfano wa mjerumani aliyekuwa hatari sana alikuwa anaitwa Karl Peters alias "Mkono wa damu".
Harafu pia, Mjerumani alipewa(aliichukua) Tanganyika kama coloni lake, tofauti na Mwingereza aliyepewa Tanganyika kuisimamia tu mpaka pale itakapopata uhuru wake(Wao wanasema mpaka pale itakapoweza(Tanganyika) kujiendesha yenyewe). Hii kusema Muingereza alikuwa ni Msimamizi tu wa Tanganyika. Mfano, Muingereza alipoulizwa Mbona unatumia nguvu Tanganyika wakati wewe ni msimamizi tu alijbu jibu jepesi kabisa na kusema "Nature na watu wa Tanzania bila nguvu hawaendi" (True story)
sio nature ya watu ongezea na serikali yao ,chombo Chao serikali nayo bila mkwaju haiendi haiendagi kabisa...nature ya watu wa Tanganyika bila nguvu hawaendi......
hii ni kweli kabisa.
Mwingereza alikuwa mwema kuliko CCM, hakuwahi kuzuia watanganyika kufanya mikutano ya siasa na walimsaidia Nyerere kupata Uhuru, hawa hawakuwa watawala kama walivyo CCM, CCM ni watawala na walisema watatawala kwa zaidi ya miaka 80 ijayo!View attachment 2051640
Hao wajerumani kuna stori zao kwamba walikuwa ni wakorofi sana enzi hizo hapa ni koloni lao.
je pana ukweli au ni story
kama afrika kusini lakiniWa Getmani washenzi waliwanyonga ma Mangi wa kichaga hadharani, tena baadhi ya ma governor walikuwa wakorofi wanachapa watu viboko hadharani bila aibu, ingawa Wa German ndio waliitetea Tanganyika isingekuwa vita vya dunia mpaka Leo Rwanda na Burundi ingekuwa part ya Tanganyika a.k. a Germany East Africa tungekuwa mbali sana