kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Kwanza nianze kuwapongeza kwa ubunifu huu wenye tija, Sikujua kama kuna kitu kizuri kama hiki cha JF DOCTORS asanteni sana.
Yupo mdogo wangu muda huu anastress na ningependa tumsaidie.
Mke wake ni mja mzito wa miezi nane na wiki mbili na amempeleka Clinic kama kawaida yake leo, baada ya uchunguzi wa kawaida Doctor amemuambia kitovu cha mtoto kimejikunja.
Doctor amewashauri mama asifanye kazi ngumu, apate muda mwingi wa kupumzika lakini kwa yeye anaona kama maelezo ya Daktari huyo hayatoshi na amepata stress kwelikweli.
Kwa mwenye kujua atusaidie nasisi kujua chanzo cha tatizo hilo na tiba tofauti na aliyoisema aliyoisema Daktari huyo kama ipo ili tujifunze si na wengine wasiojua.
Asante.