Mji mkuu Dodoma, wangeni wa kinataifa watatua pale. Uliona wewe mwenyewe. Wakati wa mazishi ya kitaifa. Tulipata tabu kwa Marais waliudhuria. Uwanja aukutosha kuwapokea. Na Mabalozi wote wanatakiwa kukaa DodomaJe, nikweli wawakilishi wetu wapo kimaslahi ya nchi.
KIA IPO,
JK DAR IPO,
Kwani hawawezi wakauhamisha uwaja wa Chato ukaja Dodoma.Hakuna uharaka wowote Ni matumizi tu ya pesa ya walipa kodi
Pesa ya walipa kodi linapokuja suala la maendeleo nje ya Dar lakini hamuongei pesa ya walipa kodi pale inapotumika Dar si ndio?Hakuna uharaka wowote Ni matumizi tu ya pesa ya walipa kodi
Na Dar awana maji pia. Maji mpaka atoke pwani. Hivyohivyo na Dodoma maji yatatoka kokote. Kwanza aujui Dodoma nadhani. Maji yapoDodoma kwenyewe hakuna hata maji baada ya miaka 60 ..pamoja na kuwepo DUWASA, WaterAID , nk nk....waazurura tu na magari yao