OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu tutajie timu iliyofungwa goli nyingi zaidigoli moja linauma jamani
Mkuu tutajie timu iliyofungwa goli nyingi zaidi
Jamhuri ndiyo timu iliyofungwa gali nyingi zaid na alifungwa na yanga 6 kwa 0Mkuu tutajie timu iliyofungwa goli nyingi zaidi
Yanga kwa Azam na simba imelala na 8 si watakuwa sugu hawaJamhuri ndiyo timu iliyofungwa gali nyingi zaid na alifungwa na yanga 6 kwa 0
wewe na 4Glte ndio hamuhesabu ila mi nahesabuhatuhesabu goli za kipindi cha penati.
Hahahaaa haya banawewe na 4Glte ndio hamuhesabu ila mi nahesabu
Hata ukiyaambia hayakuelewi hayo.We mwansport wa wapi unahesabu hadi goli za penalt shout outs? Me nawashangaa wanaoleta ushabiki eti simba kampiga yanga 4, penalties zile ni process ya kumtafuta mshindi baada ya kushindwa kufungana kwa muda wa kawaida. Wanaosena yanga kafungwa goli nyingi zaidi wanakosea, hatuhesabu goli za kipindi cha penati.
but moja nalo lina uma jamangoli nne kwa mechi moja ni nyingi sana kama unabisha Waulize waliooa mara ya mwisho kwenda bao nne ni lini?
kabisa,et mwal uanjan alafu unafanya matipwiMjinga ni yule anaoneshwa kombe na anacheza anafungwa