Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Nimeoitapita huko google jamaa wapo vzr sema sijajua kuhusu uaminifuView attachment 3033949Kwa mujibu wa be forward IST anaanza kutoka kwenye top ten
Mkuu usipomuamini be forward kwenye uagizaji wa magari nani tena utamuamini hao ndio wanaongoza ukanda huu wa bongo na nchi jiraniNimeoitapita huko google jamaa wapo vzr sema sijajua kuhusu uaminifu
Mi mtu wa Clearing huu mwaka wa tatu kwenye game mkuuMkuu nilikuwa sijui kama wewe ni MTU wa clearing Ila tupo pamoja kiongozi maana siku nyingine nitakuchek kwasababu
Mkuu usipomuamini be forward kwenye uagizaji wa magari nani tena utamuamini hao ndio wanaongoza ukanda huu wa bongo na nchi jitrade
Kuna Tradecarview, enhance auto and so forthMi mtu wa Clearing huu mwaka wa tatu kwenye game mkuu
Kwa hiyo tunazopata tuzifanyie nini? Pesa ni ya kutumiaThis is just survivorship bias bro. Let us talk the logic and not feelings, emotions or trying to be right than the next guy.
We do something to boast our ego and sometime just to self esteem and seeking social recognition.
Sasa uje ambao wanamiliki dunia wanakutangazia ama wameku program ununue vitu vya gharama ya juu just to boast your ego that you're valuable,and you're important person while they're just playing with your human emotions.
Mtu anafanya kazi anajibana ananitesa ili tu na yeye afosi respect.
Ananunua kitu Muda si mrefu anakiuza Mana kinazidi kumtoa hela.
Yaani why hujiulizi muda mwingi unayoyasikia kwenye media ni ya kukutoa hela. Mie hata Sina na sihitaji kuwa na tv home kwangu , kafungue Kama Kuna kitu utalisha ubongo wako,mwili wako ama roho yako.
Yaani wanakuambia mara bet ,mara nunua ichi na wanakuonyeshea someone who is so influencial to planet anaitumia ili na wewe u feel deep down in your soul inadequacy,sense of not mattering, incomplete etc so itabidi na wewe ukainunue na uanze kuonyesha watu kuwa you're somebody while you're feeling gap in your soul this you wanna feel that gap with materialistic things.
Naweza nikachambua na wewe ubongo na emotions za binadamu ukakaa chini
Toyota amekuaminisha ivyo ili umpe hela wajukuu wa wajukuu zake wakute vitega uchumi wafungue viwanda zaidi kuwavutia middle class ama wajukuu zako kuwapelekea hela huku wakijinadi ivyo. Watagundua migodi zaidi na kutumia ardhi yao kwa kuwatala.Kwa hiyo tunazopata tuzifanyie nini? Pesa ni ya kutumia
Wiki iliyopita nikihudhuria harusi moja hapa kijijini kwetu. Ilikuwa umbali wa kama kilomita 4 au 3 kutoka nyumbani. Shughuli iliisha saa sita na nusu usiku, tunatoka nje wenye vigari haooo wanaondoka aisee umuhimu wa gari.Toyota amekuaminisha ivyo ili umpe hela wajukuu wa wajukuu zake wakute vitega uchumi wafungue viwanda zaidi kuwavutia middle class ama wajukuu zako kuwapelekea hela huku wakijinadi ivyo. Watagundua migodi zaidi na kutumia ardhi yao kwa kuwatala.
You're programmed to take pride and have feel inner arrogance to be consumer not producers.
Huwezi weka hata kiwanda cha kusindika unga wa dengu ambacho unaweza ukarithisha wajukuu zako Ila utawarithisha kazi ya Honda,Toyota ,bmw na Mercedes Benz.
Inabidi tuzitumie Mana ndio kazi yake, ngoja niamgalie ndinga ya kuvuta hapa Mana ndio kazi ya hela ,ili inipe.heshima hapa mjini hata nitaheshimika na nitaitumia kulia mbususu kirahisi mno na pia nitaacha legacy kwa kizazi changu namna niliivyoitumia iyo gari.
Of course gari inasaidia mno mizunguko ya town ama hata umepata dharura ya ghafula usiku ingawa mababu wao hawakuzipata hizi dharura za leo hii
Niombe uthibitisho gani mkuuHakikisha gari unayokuta Yard imeingizwa kutoka nje na sio ilitumika hapa Bongo na ikawekwa Yard baada ya kukarabatiwa , omba vithibitisho , Watu wahuni sana siku hizi
Mimi naomba maelezo kwa ufupi kwa Nini ego is the enemyThis is just survivorship bias bro. Let us talk the logic and not feelings, emotions or trying to be right than the next guy.
We do something to boast our ego and sometime just to self esteem and seeking social recognition.
Sasa uje ambao wanamiliki dunia wanakutangazia ama wameku program ununue vitu vya gharama ya juu just to boast your ego that you're valuable,and you're important person while they're just playing with your human emotions.
Mtu anafanya kazi anajibana ananitesa ili tu na yeye afosi respect.
Ananunua kitu Muda si mrefu anakiuza Mana kinazidi kumtoa hela.
Yaani why hujiulizi muda mwingi unayoyasikia kwenye media ni ya kukutoa hela. Mie hata Sina na sihitaji kuwa na tv home kwangu , kafungue Kama Kuna kitu utalisha ubongo wako,mwili wako ama roho yako.
Yaani wanakuambia mara bet ,mara nunua ichi na wanakuonyeshea someone who is so influencial to planet anaitumia ili na wewe u feel deep down in your soul inadequacy,sense of not mattering, incomplete etc so itabidi na wewe ukainunue na uanze kuonyesha watu kuwa you're somebody while you're feeling gap in your soul this you wanna feel that gap with materialistic things.
Naweza nikachambua na wewe ubongo na emotions za binadamu ukakaa chini
Wakati anakupa ujumbe huo alikuwa na Nini kati ya gari na usafiri?Chukua kama ipo Yard mkuu, kuagiza mara nyingi ni kama unataka mpya kabisa na haipo Yard na mara nyingi hata wanaogiza tunapitia kwa Dealers kwasababu ya uzoefu na kuepuka usumbufu.
Enzi hizo mwalimu wangu wa BAM aliniambia kuna utofauti wa Gari na Usafiri sijajua alichomaanisha kinaingia kwenye swali lako Ila Hongera sanaaa
Gari ni zile chuma za kuanzia m 300,400 kwenda mbele izi za ma 13-17 ndio usafiri😆😆Chukua kama ipo Yard mkuu, kuagiza mara nyingi ni kama unataka mpya kabisa na haipo Yard na mara nyingi hata wanaogiza tunapitia kwa Dealers kwasababu ya uzoefu na kuepuka usumbufu.
Enzi hizo mwalimu wangu wa BAM aliniambia kuna utofauti wa Gari na Usafiri sijajua alichomaanisha kinaingia kwenye swali lako Ila Hongera sanaaa
Low season ni miezi gani?Kuna seasons za kuagiza magari, peak season huwwa kuna ucheleweshaji sana wa usafiri, ila kuna kipindi unakutana na zari la mentali, siku 40 tu chuma ipo kurasini hapo,
Gari ya kuagiza ina mzuka wake asee
angalau umekuwa muwazi. wengi wanatumia uzi kutujulisha walivyo na 'mandinga' yao na kukumbuka jinsi walivyoyaagiza sio kujibu takwa la mhariri. jf bhana😛😛 ye mugaNasoma kwa umakini comments, siku na Mimi nikitaka kuvuta chuma yangu nijue naanzia wapi.
.. mamboAisee sijui tatizo ni nini maana Mimi mwenyewe gari yangu ndiyo IPO njiani inakuja, ni zaidi ya miezi miwili imechelewa kwenye booking ya meli na hata wale dealer waliniambia kuwa shida ni usafirishaji tu
Kwangu mimi ni gharama.Habari za kushinda wakuu?
Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard yake anauza magari ambayo ni used kama yale ambayo unaweza kuagiza kupitia makampuni mbalimbali yanayohusika na uagizaji wa magari,
Kwa mtazamo wangu gari inayopatikana hapa nchini unaikagua mwenyewe ukiridhika unalipia inakuwa yako, tofauti na yale ya kuagiza ambayo unaikagua kupitia picha au 'recorded video'
Mwenye uelewa anijuze kwa sababu naona kabisa kwa uweza wa Mungu naelekea kuwa mmoja kati ya wanaomiliki magari.
Natanguliza shukrani za dhati
Dealer wako ni nani?Aisee sijui tatizo ni nini maana Mimi mwenyewe gari yangu ndiyo IPO njiani inakuja, ni zaidi ya miezi miwili imechelewa kwenye booking ya meli na hata wale dealer waliniambia kuwa shida ni usafirishaji tu
SBT..Dealer wako ni nani?