kuna tofauti gani kati ya KUANGALIA,KUONA na KUTAZAMA

kuna tofauti gani kati ya KUANGALIA,KUONA na KUTAZAMA

missa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
360
Reaction score
193
Hi wana JF,
Naomba kueleweshwa kuna tofauti gani kati ya neno kuona, kuangalia, na kutazama ?
 
Unaweza kutazama bila kuona, na vivo hivyo huwezi kuona bila kuangalia. Yaani kwa kifupi, bila ya kuangalia huwezi kuona wala kutazama.

Nadhani nimesaidia kidogo. Sasa tungoje wataalam wa lugha waje.
 
See, look, watch. Najaribu kulinganisha lipi ni lipi hapo! Mmhh!!!! Lugha ni ngumu sana kwa kweli.
 
tofauti ya hayo maneno itategemea na tungo jnc ilivo..MFANO,Huwezi kusema naona mpira kwenye televishn,utasema naangalia mpira...Lakini kwa haraka haraka,maana ya msingi ya maneno hayo hufanana.
 
Back
Top Bottom