missa JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 360 Reaction score 193 Apr 6, 2013 #1 Hi wana JF, Naomba kueleweshwa kuna tofauti gani kati ya neno kuona, kuangalia, na kutazama ?
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,234 Apr 8, 2013 #2 Unaweza kutazama bila kuona, na vivo hivyo huwezi kuona bila kuangalia. Yaani kwa kifupi, bila ya kuangalia huwezi kuona wala kutazama. Nadhani nimesaidia kidogo. Sasa tungoje wataalam wa lugha waje.
Unaweza kutazama bila kuona, na vivo hivyo huwezi kuona bila kuangalia. Yaani kwa kifupi, bila ya kuangalia huwezi kuona wala kutazama. Nadhani nimesaidia kidogo. Sasa tungoje wataalam wa lugha waje.
Prof Gamba JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 390 Reaction score 266 Apr 8, 2013 #3 See, look, watch. Najaribu kulinganisha lipi ni lipi hapo! Mmhh!!!! Lugha ni ngumu sana kwa kweli.
y-n JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,389 Reaction score 2,510 Apr 21, 2013 #4 tofauti ya hayo maneno itategemea na tungo jnc ilivo..MFANO,Huwezi kusema naona mpira kwenye televishn,utasema naangalia mpira...Lakini kwa haraka haraka,maana ya msingi ya maneno hayo hufanana.
tofauti ya hayo maneno itategemea na tungo jnc ilivo..MFANO,Huwezi kusema naona mpira kwenye televishn,utasema naangalia mpira...Lakini kwa haraka haraka,maana ya msingi ya maneno hayo hufanana.
Githeri JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 811 Reaction score 339 May 13, 2013 #5 Prof Gamba said: See, look, watch. Najaribu kulinganisha lipi ni lipi hapo! Mmhh!!!! Lugha ni ngumu sana kwa kweli. Click to expand... Bado hujaweka neno observe hapo. Loh! lugha ngumu hasa.
Prof Gamba said: See, look, watch. Najaribu kulinganisha lipi ni lipi hapo! Mmhh!!!! Lugha ni ngumu sana kwa kweli. Click to expand... Bado hujaweka neno observe hapo. Loh! lugha ngumu hasa.