Kuna tofauti gani kati ya Malaya na kahaba?

Kahaba ni yule anayeuza mwili wake Prostitution lakini Malaya ni Seductive mwanamke ambaye hauzi mwili wake lakini anautumia kutega watu au kwa ajili ya lengo flani lakini hauzi mwili wake kama kahaba
 
Najua wote mko poa wakuu,
Naomba mnieleweshe utofauti kati kuitwa Malaya na kuitwa kahaba!

Nawasilisha!
Kahaba ni Mwanamke mwenye wapenzi wengi ilhali Malaya ni mwanaume mwenye wapenzi wengi kwa maana kwamba Kahaba ni mwanamke na Malaya ni mwanaume.
 
kahaba (mara nyingi ni mwanamke) anatoa huduma ya mapenzi kwa ajiri ya kujipatia pesa, ila malaya (anaweza kuwa me au ke) ni mtu mwenye wapenzi wengiii, atakua na huyu leo na kesho utamuona na mwengine sio kwa sababu ya pesa ila ni hulka yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…