Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bornagain Mchawi ni Mtu anaye dhuru watu na hajuwi kutibu watu. Mganga wa KienyejiHakuna tofauti maana mganga wa kienyeji lazima awe mchawi
Mkuu bornagain Mchawi ni Mtu anaye dhuru watu na hajuwi kutibu watu. Mganga wa Kienyeji
ni mtu anayejuwa Kutibu na kudhuru pia anajuwa lakini yeye kazi yake ni kutibu sio kudhuru watu. Mganga wa
kienyeji anayedhuru watu atakuwa ni mchawi na hawezi akawa na kipaji cha kutibu watu na kudhuru watu
pamoja itabidi acahague moja kati ya hayo mawili awe ni mchawi lakini hawezi pia akawa ni mganga kwa sababu Uganga una masharti aidha uwe ni Mganga usidhuru watu au uwe ni Mchawi wa kudhuru watu kwa mambo ya uganga hutaweza kutibu watu.
Ukiwa wewe ni Mganga kisha unawadhuru watu utakapodhuru watu hutaweza kuwa na nguvu ya kutibu watu yaani huwezi kuwa na nguvu 2 kwa
wakati mmoja hicho kitu hakiwezekani hata kidogo.Ukimuona Mganga anaye wadhuru watu huyo sio mganga
huyo ni Mchawi kwa sababu huwezi kupata Vipaji 2 kwa wakati mmoja hicho kitu hakiwezekani hata kidogo.
Huwezi kuwa na kipaji cha kuwatibu watu kisha uwe na kipaji cha kuwadhuru watu kwa wakati mmoja uwe na Vipaji 2 Kudhuru na kutibu kwa wakati mmoja haitowezekana hata kidogo.
Mkuu bornagain Mchawi ni Mtu anaye dhuru watu na hajuwi kutibu watu. Mganga wa Kienyeji
ni mtu anayejuwa Kutibu na kudhuru pia anajuwa lakini yeye kazi yake ni kutibu sio kudhuru watu. Mganga wa
kienyeji anayedhuru watu atakuwa ni mchawi na hawezi akawa na kipaji cha kutibu watu na kudhuru watu
pamoja itabidi acahague moja kati ya hayo mawili awe ni mchawi lakini hawezi pia akawa ni mganga kwa sababu Uganga una masharti aidha uwe ni Mganga usidhuru watu au uwe ni Mchawi wa kudhuru watu kwa mambo ya uganga hutaweza kutibu watu.
Ukiwa wewe ni Mganga kisha unawadhuru watu utakapodhuru watu hutaweza kuwa na nguvu ya kutibu watu yaani huwezi kuwa na nguvu 2 kwa
wakati mmoja hicho kitu hakiwezekani hata kidogo.Ukimuona Mganga anaye wadhuru watu huyo sio mganga
huyo ni Mchawi kwa sababu huwezi kupata Vipaji 2 kwa wakati mmoja hicho kitu hakiwezekani hata kidogo.
Huwezi kuwa na kipaji cha kuwatibu watu kisha uwe na kipaji cha kuwadhuru watu kwa wakati mmoja uwe na Vipaji 2 Kudhuru na kutibu kwa wakati mmoja haitowezekana hata kidogo.
Mkuu bornagain Mganga ambaye anayekwambia ukitaka mafanikio yako itabidi umuuwe mtotoMimi ni mwenyeji wa mkoa mpya wa Katavi and am talking through experience nachokuambia ni kwamba mganga wa kienyeji nae ni mchawi tu. Nasema hivo utakuta mgonga wa kienyeji anamwambia mteja wake kuwa ili upone au ili ufanikiwe unatakiwa kuua mtoto wako na anamvuta kwenye kioo mpaka pale ulipo then anakupa sindano anakuambia ukishamdunga tu kwenye kioo cha kiganga palepale mtoto atafariki so hapo hujaona kama mganga nae ni mchawi tu. Au hata mganga mwenyewe kuna wakati dawa zinaisha nguvu kwa hiyo kuziboost inatakiwa aue mmoja wa familia yake. Kule Sumbawanga kuna watu wametajirika kwa kujiita waganga wanamloga tajiri wao wenyewe halafu wanamuendea moja kwa moja huyo tajiri na kumuambia kuwa sie ni waganga wa kienyeji ili kupona ugonjwa wako unatakiwa utupe milion kumi na kweli ikishatolewa hiyo milion kumi mtu wa watu anapona na wao wanachukua chao.So mganga ni mchawi
Mkuu Viper ninakubaliana na wewe kwa asilimia 99 sikubaliani na mkuu.@bornagain kabisa anavyosema.Mi nadhani kuna
1) machawi - anadhuru watu
2) mganga wa kienyeji - anatibu lakini wapo kiimani zaidi eg kuongozwa na majini au shetani kupata solution!! Utakuta anakwambia subiri nipandishe mashetani! Alafu uyaambie matatizo
3) mtaalamu wa miti shamba au mganga wa tiba mbadala - hawana mashetani zaidi ya utaalamu wa mitishamba utakuta elimu wameiendea shule ( chinese traditional medicine) au kujifunza kutoka kwa wazee ( wamasai) hawa una kwenda na tatizo anakupa dawa bila kupandisha mashetani
Mkuu Asante Sasa wewe badala ya kueleza unawatukana waganga? mkuu sivyo hivyo usilete matusi hapa.Waganga wote wa kishenzi walianza kuumiza watu kwa uchawi, waganga wote ni wachawi lakini wachawi wengi siyo waganga.
kama ambavyo umeambiwa mganga ana uwezo wa kutibu na akikiuka masharti hudhuru pia,mganga wa kweli anapotakiwa kudhuru mtu huangalia kosa la yule au dhuluma aliyoifanya anayetakiwa kulogwa.akikuta jambo alilolifanya yule muhusika ni baya sana kwa mustakabali wa kibinaadamu humuelekeza mlogaji kitu cha kufanya ili kuwezesha kisasi au haki ya mlogaji kufanikiwa.hata hivyo waganga waweza gawanywa katika makudi tofauti{1}mganga mchawi,huyu huloga watu na baadae kuwafanya waje kwake kupata tiba na baadae apate kipato.{2}mchawi mganga huyu huloga watu na baadae hujifanya mjuzi sana wa tiba kwa ujira fulani{3}mtaalam wa kawaida wa dawa za asili huyu sio mganga ila huwa ni mjuzi sana wa dawa mbali mbali za kiasili ambazo huwasaidia nazo watu aidha kwa kipato au kwa msaada tu.{4}mganga kamili,huyu hutibu tu na mara nyingi huharibu njia za wachawi ili kuwezesha ukamilifu wa tiba zake,hadhuru mtu kama hana kosa na akidhuru basi ndipo ubatili wa dawa zake huanza hapo,na toka hapo huwa ni mchawi na sio mganga tena.halafu huwa na nguvu sana za kiasili zitakazomlinda na visasi na hasira za wachawi ambao hawapendi kutibuliwa kwa ishu zao.ninayo mengi ya kuandika lakini kwa leo niishie hapa kwanza.mmh mbona wapo watu wana enda kwa mganga wanawaloga watu wanakuwa machiz na anaye toa huo uchawi ni huyo huyo mganga apo vp cja elewa.
ukimuuliza yeye anaamini dini gani aweza kwambia yeye ni mkristu wakati wenzake wanazunguka na maiti iliyofukuliwa huko wanaizika tena, tatizo letu sisi waafrika wengi tunapokea kila kitu bila kujibidiisha kujua siri ya dunia hii,tupo kama magunia tunasubiri wachuuzi watujaze bidhaa bila kujali zinanuka au ni safi.kama lile jambo lingefanywa na waafrika hasa watanzania wenzetu wa kabila lolote wangevikwa uchawi,uchafu,ujinga na upumbavu wote unaojulikana.lakini kwa vile lina asili ya kizungu safi tu.hihi dunia hii ina siri sana hii.ila wajinga tutaliwa sana sisi.siku njema mheshimiwa mzizi mkavu.Mkuu Asante Sasa wewe badala ya kueleza unawatukana waganga? mkuu sivyo hivyo usilete matusi hapa.
mmh mbona wapo watu wana enda kwa mganga wanawaloga watu wanakuwa machiz na anaye toa huo uchawi ni huyo huyo mganga apo vp cja elewa.
Mkuu Jodoki Kalimilo Umezungumza vizuri ila umekosea kusema kuwa ( wale wanaotumia ramli uchawi) neno (Ramli) kuwa ni uchawi na (Ramli na Uchawi) ni vitu viwili tofauti kabisa.Neno Ramli ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni mchanga waTumekosa maneno mazuri hapa maana kuna Mchawi (huyu anasimama yeye kama yeye na mara nyingi yupo kwa ajili ya kudhuru au kuleta mauzauza) alafu kuna waganga wa kienyeji (ambao wamegawanyika ktk aina mbili i.e. wale wanaotumia mitishamba na wale wanaotumia ramli uchawi), kwa waliosoma St nini wanapenda kuweka kwa lugha hii WITCH DOCTOR (mganga mwenye nguvu ya miujiza) na TRADITIONAL HERBALIST (anatumia miti shamba)
Au kama alivyofafanua Viper hapo juu
Natamani kupata mjadala wenye kuweza kuleta majibu yaliyoshiba mawazo huru yenye mitazamo tofauti, kwani siku hizi kuna wimbi kubwa la watu kugeukia dawa za kienyeji zaidi kuliko zile zinazotolewa na hospitali za kawaida.
mkuu Sumbalawinyo Umenichekesha kweli mfano wako kama huu mfano kati ya Daktari na muuza Dawa PharmacyTuna hamu ya kutapeliwa.
Wachawi na waganga ni walewale tu. Anakuloga Juma, Juma anampigia simu Hamis, unaenda kutibiwa na Hamis, then wanagawana mshiko