Underdog JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 343 Reaction score 444 May 2, 2014 #1 Kuna tofauti gani kati ya Msomi na Mwanazuoni, na je, tunaposema wasomi toka chuo "X" huwa tunamaanisha maprofesa au ni wanafunzi wa hicho chuo
Kuna tofauti gani kati ya Msomi na Mwanazuoni, na je, tunaposema wasomi toka chuo "X" huwa tunamaanisha maprofesa au ni wanafunzi wa hicho chuo