Kuna tofauti gani kati ya neno 'Hawala ya fedha' na hundi?

Umuhirindahu

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
349
Reaction score
170
Jaman wana JF naomba kwa anaeelewa anisaidie kutofautisha kati ya hawala na hundi.....au yote yana maana sawa?
 
HAWALA ni kusafirisha fedha (transfer/remitte) na kupokewa upande wa pili.
HUNDI ni cheki (mbadala wa fedha taslimu).
 
Nijuavyo:
Hundi= Cheque
Hawala ya fedha= Banker's payment cheque
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…