Kuna tofauti gani kati ya online na on-campus degree...?

Kuna tofauti gani kati ya online na on-campus degree...?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,726
Habari,
Naomba ufafanuzi kwa wale waelewa zaidi. Je katika kupata kazi na "kuthaminika" kielimu kuna tofauti anayopewa mtu aliesoma on campus na yule aliyechukua online course provided chuo ni credible?
 
Back
Top Bottom