kuna tofauti gani kati ya utaifa na ukabila, na kati ya cord na jubilee ina sera za utaifa

kuna tofauti gani kati ya utaifa na ukabila, na kati ya cord na jubilee ina sera za utaifa

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
2,022
Reaction score
534
nikitizama sera mojawepo za cord ambao wanasema nia yao kuu ilikuwa kukomesha ukabila na hawaendelei kueleza kwa kina mbinu ambazo watatumia kukomesha tatizo hili.

njia mojawepo za kumaliza ukabila ni kuhakikisha kila mkenya anapata kuwakilishwa na uongozi. Miaka hamsini baada ya kenya kunyakua uhuru, ikizingatiwa serikali zilizopita, wananchi hawakupata kuwakilishwa kihali na mali na viongozi wakuu wa jamii zao.. na hii ndio tatizo kubwa inayoonekana kueneza ukabila.

kwa sasa mkenya anawakilishwa vilivyo kulingana na mapendekezo ya katiba mpya..


.................Ile siasa ya utumwa iliyokuwa ikienezwa na wanasiasa ambao hawakujali kuleta maendeleo kwenye jamii zao, yaonekana itapungua kwa muda wa miaka mitano hivi. je itawezekana wananchi wa demokrasia ya kenya kuweza kutambulika kama wenye utaifa?
 
Back
Top Bottom