Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
kwa hiyo maana kusoma kwangu nje hakutonisababisha kutofanya kazi kwa ufasaha hapa nchini, bali katika kipengele cha ndani?, na je kwa ushauri wako we unaona ni vema niendelee na mpango wa nje au itakuwa ni bora zaidi nikisoma hapa tz?, asante.Kwa commonwealth countries principles ni karibia zile zile, ila utofauti ni sheria za ndani tu, hata kwa nchi nyingine ambazo hazikutawaliwa na malkia kanuni za kisheria ni karibia zile zile tu, hakuna utofauti mkubwa.
Kwa mfano sisi hapa Tanzania,tumekopi kwa asilimia kubwa sheria za India, ambazo ndiko Uingereza walitaka kufanyia majaribio ya matumizi ya sheria zilizoandikwa.
Haitaathiri HATA KIDOGO utendaji wako utakapoamua kuja kufanya kazi hapa nchini but nakushauri usome Canada na kama utalazimika kusoma kwingine fanya utafiti ufanye LL.B kwa chuo ambacho TCU na Council of Legal Education vinakitambua ili uweze kusoma Law School hapa nyumbani. Wengi tu wamesoma Bachelor nje na kumalizia hapa taaluma yao.kwa hiyo maana kusoma kwangu nje hakutonisababisha kutofanya kazi kwa ufasaha hapa nchini, bali katika kipengele cha ndani?, na je kwa ushauri wako we unaona ni vema niendelee na mpango wa nje au itakuwa ni bora zaidi nikisoma hapa tz?, asante.
Hakuna madhara yeyote, nenda tu mkuu..kwa hiyo maana kusoma kwangu nje hakutonisababisha kutofanya kazi kwa ufasaha hapa nchini, bali katika kipengele cha ndani?, na je kwa ushauri wako we unaona ni vema niendelee na mpango wa nje au itakuwa ni bora zaidi nikisoma hapa tz?, asante.