johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili
Hii inaepusha watu kuvunjiana Heshima kama huko Chadema yule mbobezi Wenje alivyowavuruga hadi Mwenyekiti anashindwa kwenda Kanisani Kwa Mitusi anayotukanwa mitandaoni
CCM hoyee😂
Hapa Dodoma CCM wanamtaka Wenje aongoze Chadema 😄😄🐼