medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
Nataka kujua tofauti baina ya neno "hamna" na "hakuna"...
mimi nafikiri kimaana hayana tofauti ila katika matumizi huenda na ngeli ya 9-PA-MU-KU
PA-pale ndani 'hapana' kitu.
MU-mule ndani 'hamna' kitu.
KU-kule ndani 'hakuna' kitu.
nadhani ntakua nimejaribu kukujibu
Tafsiri safi kabisa na iko wazi inaeleweka vizuri sana.Mr Muragemimi nafikiri kimaana hayana tofauti ila katika matumizi huenda na ngeli ya 9-PA-MU-KU
PA-pale ndani 'hapana' kitu.
MU-mule ndani 'hamna' kitu.
KU-kule ndani 'hakuna' kitu.
nadhani ntakua nimejaribu kukujibu