Kuna tofauti gani

Kuna tofauti gani

NICK WA 16

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Hizi coz zina utofauti gani wadau barchelor of science with education na barchelor of science in education,coz huwa sizielewi.
 
with education inakua education sio major na unaweza kuchange ukisoma master may be,but in education unasoma ualimu tuu na unakua mwalimu mpaka unakufa..nijuavyo mm
 
Back
Top Bottom