Kuna tofauti Kati ya kupiga Kura na Kuchagua Kiongozi, Afrika tunapiga Kura!

Kuna tofauti Kati ya kupiga Kura na Kuchagua Kiongozi, Afrika tunapiga Kura!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kupiga kura Kisiasa ni zoezi la kumuweka mtu au Kikundi Cha watu madarakani bila kujali kama Wana sifa ama la

Kupiga kura mtu anashawishiwa na Vionjo mbali mbali mfano Rushwa, Ulaghai, Dhulma na Utapeli

Lakini Kuchagua Kiongozi ni zoezi la kumchagua Mtu mwenye Sifa, Vigezo na karama ya Uongozi katika kuwavusha wale wenye " Imani" na Kuongozwa naye

Usisahau, unaweza kupiga kura Lakini Usichague

Mungu wa Mbinguni Aibariki Jumatano Yako 😀😀
 
Back
Top Bottom