bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Habari Wanaohusika!!
Nilikua naongea na business partner wangu kuhusu kuwa official kibiashara nikamwambia tusajili kampuni,yeye akasema kwa nn tusisajili jina la biashara??
Sasa nashindwa kuelewa tofauti zake pia faida na hasara za kufanya biashara na kampuni na kufanya biashara na jina la biashara.
Asanteni kwa mawazo yenu.