Yeah mkubwa ni vitu viwili tofauti unaweza ikasajili jina tu,ukawa unalipia kodi usajili,tofauti ni kwamba mali zinabaki kuwa mikononi mwa partners wenyewe wakati mkisajili kampuni inakuwa ni mali ya kampuni,
Nakushauri kama partnership yenu itadumu kwa mda mrefu go for a company,hii ni security purpose ya mchango wako na wake kwenye kampuni.