Kuna tofauti kati ya Mapenzi na Upendo?

Kuna tofauti kati ya Mapenzi na Upendo?

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,534
Reaction score
11,449
Jamani kuna tofauti gani kati ya Mapenzi na Upendo?
Mfano "Fulani ana mapenzi ya kweli" na ''Fulani ana Upendo wa kweli"
 
Mapenzi ni matashi (wills); na upendo (love) ni wema wa ndani wa mtu kwa mtu mwingine. Kwa hiyo mtu kuwa na mapenzi ya kweli maana yake ni kuwa na matashi ya dhati kwa mtu/watu wengine. Kwa jumla mapenzi ni aspect ya upendo kwani upendo ndiyo unaofumbata kila jema. Na hapa unakuta maneno kama "mapenzi ya Mungu" na "Upendo wa Mungu". Mapenzi ya Mungu ni utashi wake, nia yake, yale awatakiayo wanadamu, amri zake na maelekezo yake. Upendo wa Mungu ni wema wake.
 
kiswahili kigumu sana, ngoja aje mdada fulani anakijua
 
Upendo na mapenzi ni tofauti sana!
 
Back
Top Bottom