Kuna tofauti kati ya video bora na video yenye gharama kubwa

Kuna tofauti kati ya video bora na video yenye gharama kubwa

Umesema vyema!
Kama alivyosema 2023 hakuna msanii aliyetoa ngoma kali kumzidi kitu ambacho sio kweli!
Inaimba vizuri hatukatai,. Sema ana mdomo sana na nyimbo zake zinahit kibongo bongo tofauti na mwenzie anaenda kimataifa sikuizi,.

Tukiachana na hivyo uwekezaji wa video yake na video ya Chibu ni tofauti sanaa na ndio maana hata mapokeo yamekua tofauti pia,.
 
Video kuwa na budget kubwa haimaanishi kuwa itakuwa bora Kuna utofauti mkubwa kati ya video ya gharama na video iliyo Bora.

Kwa mtazamo wangu ambao sio lazima Kila mtu awe nao kwangu Music video ya Mario Hakuna Matata ni Bora zaidi kuliko Komasava ya Diamond Platinumz.
Ume zunguka weee mwishon ndo ume funguka ukwel wako 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom