Kuna tofauti kati ya video bora na video yenye gharama kubwa

Umesema vyema!
Kama alivyosema 2023 hakuna msanii aliyetoa ngoma kali kumzidi kitu ambacho sio kweli!
Inaimba vizuri hatukatai,. Sema ana mdomo sana na nyimbo zake zinahit kibongo bongo tofauti na mwenzie anaenda kimataifa sikuizi,.

Tukiachana na hivyo uwekezaji wa video yake na video ya Chibu ni tofauti sanaa na ndio maana hata mapokeo yamekua tofauti pia,.
 
Ume zunguka weee mwishon ndo ume funguka ukwel wako 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…