Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Kweli maisha ya duniani tofauti kabisa ndoo maana mungu katuumba tofauti alikuwa na maana yake.Wiki iliyopita mc Pilipili alikuwa Tanga kwenye harus na mm nilihdhuria.Niliuliza gharama za kumkodi nikaambiwa milioni mbili na hapo alikuwa anatoka Arusha kikaz.Alichekesha mle ndani mpaka watu wakavunjika mbavu na machzi yanawatoka watu.Alitumia kama masaa manne au matatu na nusu.Ndoo maana nasema binadam tumeumbwa tofauti na mungu alikuwa na makusudio yake kwani asiekuchekesha ww anaweza kumchekesha mwingne.Usie muona ana thamani kwa mwingne ana thamani kubwa na maisha yanaendelea.
 
Simpendi Mc Pilipili ila basi, uchekeshaji mwingine ni zero kabisa. Ndo maana nimebaki kutazama Churchill Show ya Kenya.
Nakuunga mkono,mimi hakuna mchekeshaji wa Tz anayeni impress,wote wanatumia nguvu nyingi sana,sio majuto tena huyu mzee namuona ana utoto na hata kwenye matangazo anakosa uhalisia,walearn from kenya wachekeshaji walivyo creative na walivyo na upeo wa mambo !
 
Let Ngoswe's stuffs belong to him.

Naamin wapo wanaokipenda hicho anachokifanya ndiyo maana anakifanya.
 
Watanazania tu wafuata mkumbo na washamba. Watu hatujiamini na ukiona mtu kafanya kitu unafikiria na wewe usipofanya utaonekana mshamba. Inawezekana mlikuwa mmejazana watu wa low IQ kwenye hall. Anyways Tanzania kwa upande wangu sioni mchekeshaji (hawa wanaofanya kama kazi) lakini mtaani kuna wachekeshaji wengi sana.
 
Hatimaye Makonda kasikia kilio chako mkuu
 
Anakuboa wewe na huyo ziro wenu!
 
Hata mimi pia ni mchekeshaji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…