Kuna tofauti ndogo sana kati ya Fiston Mayele na Didie Drogba

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226
Huyu mwamba ukimuangalia kuanzia umbo lake, jinsi anavyowapa shida mabeki wa timu pinzani, jinsi anavyofunga magoli, na jinsi anavyoshangilia magoli aliyofunga unapata picha halisi ya Mwamba wa Ivory Coast Didie Drogba.

Tofauti yao ni kuwa Drogba alipata bahati ya kucheza Ulaya wakati Mayele yupo bongo land bado anatafuta njia ya kwenda Ulaya..


 
Ngoja nicomment tu kwa kuwa mimi nami ni Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…