Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio cancer wamesema linasababisha ugonjwa wa Moyo...heart attack...Nafikiri viazi na ndizi bado vyote vipo kundi moja la vyakula. Suala la maji ya baridi kusababisha cancer tusubiri watafiti watuletee majibu
Ona bro.Mtu akiacha Kula chips lakini anakula ndizi za kukaanga...kuna mabadiliko yeyote hapo ya maana health-wise?
Kingine nimesikia maji baridi Yana madhara.....yanasababisha ugonjwa wa Moyo...hii nayo kweli au uzushi?